Saturday, August 30, 2014

MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT

Mshindi wa milioni 50 za TMT, Mwanaafa Mwinzago.
Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Mwanaafa ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es…
Mshindi wa milioni 50 za TMT, Mwanaafa Mwinzago.
Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).

Mwanaafa ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

0 comments: