AUNT, NICE CHANDE WATIFUANA KWA MITUSI!
Stori: Musa Mateja
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na shostito wake Nice Chande, juzikati walijikuta walitifuana kwa matusi makali ya nguoni nyumbani kwa rafiki yao Wema Sepetu ‘Madam’ anayeishi mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Shostito wa Aunt Ezekiel, Nice Chande.
Chanzo makini cha habari kilichokuwa nyumbani kwa Wema, kililidokeza gazeti hili kuwa waigizaji hao wakiwa na rafiki yao mwingine, walianza…
0 comments: