Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo
Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na
dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi
wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na
kutupwa kule
Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:
Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe
transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na
manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary
outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau
usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!
0 comments: