BABY MADAHA SITUMII KINGA HATA SIKU MOJA
Stori: Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na
Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa
ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku
moja.
Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha
alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza
Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo
akishahakikisha huyo mwanaume ni mzima huwa ahangaiki kutumia kinga.
“Japokuwa nawapanga wanaume lakini najali sana afya yangu yaani kila baada ya miezi mitatu huwa naenda kupima kabla sijaingia naye kwenye uhusiano, nikikuta yuko fresh tunaendelea na mapenzi yetu na huwa situmii kinga kwa sababu nakuwa nimeshajua afya yake.
Ikitokea amenizingua nampiga chini namchukua mwingine naenda kumpima hivyohivyo maisha yanasonga mbele,” alisema Baby Madaha.

0 comments: