Monday, September 15, 2014

‘Mwezi Mtukufu Huu ni Kutulia na Kujipodoa tu, Mkorogo Utanikoma’ Maimartha Jesse

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amesema anafurahia ujio wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwani kazi yake itakuwa ni kutulia na kujipodoa tu.Akipiga stori na Ijumaa Mai alisema mwezi huo huwa mishemishe zake zikiwemo za u-MC anaziweka kando na kwamba atatumia muda mwingi kutengeneza mwili wake.
“Yaani mkorogo utanikomaje, nakuambia hadi Mwezi wa Ramadhani unaisha nadhani nitakuwa kama mwarabu, sitakuwa na la kufanya, nitakuwa ni mtu wa kujipodoa tu,” alisema Mai.
                                            www.2dayhabari.com

0 comments: