Tuesday, September 16, 2014

MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF WAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DSM


Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa…
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw Ladislaus Mwamanga akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa Mkutano wa pamoja baina ya wadau wa maendeleo,Maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini DSM.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Bwana Peter Ilomo akifungua mkutano wa wadau wa Maendeleo,maafisa wa Serikali na watendaji wa TASAF uliofanya mapitio ya Mpango wa kunusuru kaya maskini uliofanyika kwenye Ukumbi kimataifa wa  Nyerere Jijini DSM.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Peter Ilomo (aliyeketi katikati) akiwa na viongozi wengine Katika meza kuu wakifuatilia maelezo ya Mkurgenzi Mtendaji wa TASAF ,Bw. Ladislaus Mwamanga (hayupo pichani) wakati wa ufungzi wa Mkutano wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini uliofanyika jijini DSM.
Wakurugenzi wa TASAF Bw.Amedeus Kamagenge wa kwanza mbele na  Fariji Mishael wa pili wakifuatilia mjadala wa mapitio ya Mpango wa Kunusuru kaya maskini kati ya wadau wa maendeleo,maafisa wa serikali na watendaji wa TASAF kwenye ukumbi wa kimataifa wa MWL Jk Nyerere jijini DSM.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa wadau wa maendeleo na wale wa serikali na TASAF wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano uliojadili maendeleo ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini PSSN.
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo, maafisa wa serikali na TASAF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo kwenye ukmbi wa miktrano wa Mwalim Nyerere jijini DSM.

0 comments: