Msanii
wa filamu za Kibongo ambaye pia ni mtangazaji, Lulu Mathias Semagongo
'Aunt Lulu' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na 2DAYHABARI Online mchana huu.
Aunt Lulu akifafanua jambo kwa wanahabari wa 2DAYHABARI (hawapo pichani).
Aunt Lulu akiwa katika pozi 'bab kubwa'.
Aunt Lulu akiwa kasimama baada ya kumaliza mahojiano na 2dayhabari Online.
Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evalist (kushoto) akiwa katika pozi na Aunt Lulu.
0 comments: