ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR
0 Comments
0 Likes
Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.

Askari
wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL
Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi Tatu, jana
asubuhi.
Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP
2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM
wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la
Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi.Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.
(CREDIT: HABARI NA MATUKIO…

0 comments: