MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO
Vijana
watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili
kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa
iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam,
huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr.
Jack's huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel's kusindikiza usiku
huo.
Divas
wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa
iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Mary Lucos, igna Mbepera na Meneja wa Band Aneth
Kushaba AK47 wakiwajibika.
Sony
Masamba wa Skylight Band akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo
huku akicheza "style" mpya ya bendi hiyo inayoitwa "FUNGA ZIPU" sambamba
na Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47.
Sehemu ya mashabiki wakisakata sebene la Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mutu muzima Joniko Flower akipiga vocal na kupewa sapoti na Mary Lucos, Sony Masamba na Digna Mbepera.
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Zipopo zilikunyumba.......ni moja ya Swaga za Skylight Band huku mashabiki nao hawakukubali kushindwa.
Ni
raha iliyoje unapoanzisha kitu na mashabiki wako wakipenda kujifunza na
kukicheza kama wewe....Skylight Band #Balsaaaa# ndio habari ya mujini.
Mpiga kinanda wa Skylight Band ambaye anahusika sana kunogesha muziki wa Live wa Skylight Band.
Huku
burudani ikiendelea #WANAMANYOYA wakipata Ukodak kutoka kulia ni Joshua
Ndege, The Big Boss Sebastiana Ndege, Rais wa Wanamanyoya Justine
Ndege, Magaua pamoja na Eddievied.
Aneth
Kushaba AK47 a.k.a Komando kipensi akipiga vocal za uhakika kwa
mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa
nyumbani Thai Village ambapo leo patakuwa hapatoshi baada ya kukusanya
mashabiki wapya kwenye NYAMA CHOMA FESTIVAL 2014 wikiendi iliyopita.
Hashimu Donode a.k.a Mzee wa Kiduku akiwajibika jukwaani na hisia kabisa.
0 comments: