Kali:Mchungaji Awasugua Matiti Wadada Kuwaombea Waweze Kuwa na Uwezo wa Kupata Watoto
     
     
     
      
Kila Siku zinavyoenda Vioja vinavyofanywa na Wachungaji wa Dini 
Vinaibuka , Baada ya hivi Karibuni mchungaji mmoja kuwalisha Nyasi 
Wafuasi wake Mwingine Ameibuka Nchini Kenya Akidai kuwaponya Wanawake 
ambao hawapati watoto Kwa Kuwasugua Matiti yao huku Akiwaombea Katika 
ofisi yake….End of The World…!!
 
 
 
 
0 comments: