AUNT, MUME WA MTU MAHABA NIUE
Stori: Imelda Mtema/GPL Mahaba niue!
Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa
wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa
kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.
Staa
wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea Uwanja wa ndege.
Tukio
hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri
Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja
kimahaba eneo hilo.
Aunt
ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni
kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume
wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo
kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.
Mwanahabari
wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini
wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu
kusindikizana.”Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa,
mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja
kwa jina moja la Sauda.
Aunt Ezekiel na Moses Iyobo wakiagana Uwanja wa ndege.
Akizungumza
na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye
alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya
ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa
mwaka jana ndipo alipomkimbia.
“Nasikitika
sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa
upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia
kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau
mwisho akanikimbia,” alisema.
Baada
ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo,
gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila
kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.
Akizungumza
na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye
alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya
ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa
mwaka jana ndipo alipomkimbia.
Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

0 comments: