Thursday, September 11, 2014

ANGALIA STRAIKA ALIVYONUSURIKA KIFO KWENYE AJALI HII,MUNGU ALIVYO WA AJABU.





















Mshambuliaji franko jara amenusrika kifo baada ya garilake aina ya mustang kugonga mti nakuharibika vibaya.
Hara raia wa argentina anayekipiga katika kikosi cha benifica ya ureno alikua njiani kueleke lisbon lakini akashindwa kudhibiti garilake ambalo lilipoteza muelekeo na kugonga mti.
Maajabu ya mwenyezi mungu,jara alitoka kwenye gari hilo akiwa hajachubuka hata mahali.






                                             jara kazini




































0 comments: