Wednesday, August 27, 2014

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS



STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers.




Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

0 comments: