LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA

MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu
alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha
yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine…
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu
alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha
yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine
wanavyojiongeza.
0 comments: