Kweli Mapozi Kikohozi, Wazidiwa Nakuanza Kufanya Yao Ndani ya Dala Dala
Kale Ka Usemi kuwa Mapenzi ni
Kikohozi Kamedhiirika Juzi Huko Kenya Baada ya Wapenzi Wawili Kuanza
Kunyonyana Ndimi Ndani ya Matatu ama Dala Dala Bila Kuona Aibu Kuwa kuna
Watu wanawaangalia , Abiria Walibaki na Mshangao tu na kubaki
wakishuuhudia sinema ya bure huku wengine wakipiga picha na kuzituma
kwenye mitandao ya kijamiii….
0 comments: