Warembo
30 wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini
tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazofanyikia
mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.
Warembo wakiwasili kambini…
Warembo
30 wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2014 leo wameingia kambini
tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazofanyikia
mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam.
Warembo wakiwasili kambini Warembo wa Kanda ya Ziwa wakiteremka katika gari lao baada ya kuwasili na inaelezwa waliendesha kutoka jijini Mwanza.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzia saa 12 alfajiri ya
leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB
Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao
walipowasili kambini hapo wakiwa ndani ya gari ya Mshindi wa Kanda ya
Ziwa ambayo alizawadiwa hivi kjaribuni katika shindano lao.
0 comments: