Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na
Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa
Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni
Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa tetesi hizo lakini kuna
dalili nyingi kuwa hakuna amani tena paradiso.
Tetesi
za kuvunjika kwa power couple hiyo ya Bongo, zimechochewa zaidi na post
ya mafumbo ya Wema Sepetu kwenye Instagram. Katika post hiyo, Wema
ameweka picha yenye rangi nyekundu pekee yake na kuandika ‘I shouldve
known’.
Picha hiyo imezua maswali mengi kwa followers wake zaidi ya 211,133 kwenye mtandao huo unaopendwa Tanzania.
Haya ni baadhi ya maoni:
modestae68
@wemasepetu
haya mbwa mwitu huyoooo katoka hakuna cha princess sasha,superstar wala
ile filam uliyosema unacheza kama mgonjwa wa kansa ukanyoa kipara yaani
naumia kuona hivyo wema vp? Acha mambo ya kugawa pesa majukwaani sio
wote wanaokushangilia unapopanda ktk majukwaa wengine wanakuzomea hukui?
Acha kulewa sifa za team za kukusifia kila ufanyalo yaani sijui niseme
nn nikiona wenzio wanavyosonga mbele naumia alafu wewe unaonyesha
ufahari majukwaani mmmh kweli hakuna kizuri kinachokosa kasoro haya
watakaonitukana poa tu lkn mm wema ni kama mdogo wangu nampenda sana
ndio maana namwambia sasa wale waliozoea kutukana tukaneni mpaka mchoke
lkn nyie nyie mlikuwa mnasema ktk kampen ya bring our wema hivyo
sitoshangaa.mm nitaongea mpaka siku nikiona mabadiliko nafikiri ndio
siku nitakayoridhika japo ni kwa faida yake na siyo yangu ila sio mbaya
kumwambia mtu kitu chenye faida kwake hata kama huna faida nacho.am
still like u wema.
mwelumwikya
I saw this coming @wemasepetu you are a gorgeous girl with brains you should not worry at all he is only 25
patrarobert
sitaki
kuamini kuwa uko kwenye majuto…na hasa kama majuto yenyewe yanahusiana
na mahusiano yako ya kimapenzi….bt kama ndivyo;kwanza pole…kila kitu
knatokea kwasababu…angalia ulipojkwaa,nyanyuka futa vumbi…anza upya…Kama
n jambo lingine…do the same:ILA U BETTER START LIVING…START ACTING LIKE
A LADY…kila mtu ana kasoro zake…n kweli ila zako znaonekana zaidi kwa
sababu u r on spotlight…na kwasababu u r an attention seeker…achana na
hayo mambo wema…sitaki kuamini kuwa wewe n sikio la kufa…tuko wengi
yametukuta mengi sababu ya kutosikiliza wazazi…kusema tu “nampenda mama
angu,she z my everything”bila kumtii na kufuata maagizo yake n bure…na
AMINI kuwa u wont rest mpaka ukianza kumtii mzazi wako…kama ni huyo
diamond atakusumbua mpaka uchanganyikiwe kwasababu huo uhusiano hauna
baraka za mama ako…unaweza ona kama kakuruhusu…inabidi akuache ufanye
utakalo ili dunia ikufundishe…HUJACHELEWA… @wemasepetu @wemasepetu
callyrissanen
Sijui
unachokiongelea kama ni majuto au surprise nzuri. Cha muhimu nakwambia
kama dada mkubwa lol, acha starehe za kugawa pesa kwenye kadamnasi.
Wekeza hizo pesa uende vacation hata hapo PARIS TUU wewe na umpendaye,
sio lazima awe baby yako chibu. Weka pesa na ujijengee tabia ya kutoka
outings za kwenda kwenye hotel nzuri kula chakula kizuri wewe na familia
yako au mtu umpendaye, sio lazima awe baby yako Chibu. Weka pesa nenda
gym kujikeep busy angalau mara 3 kwa wiki, sio lazima na baby yako chibu
kwani utapata personal trainer. Weka pesa na acha kuwanufaisha hao
wacheza show kwani ukifulia watapata maneno ya kutungia wimbo. Take care
and remember that;this too shall pass!!
magz_16
You
all need to leave these two have fun and delight in each other as it
lasts.Diamond is still a childish boy…!!!How old is he again!!!Hes got a
looong way to go as a man.@wemasepetu ….if i were you..i would just
focus more on making money and building my future!!Build a house…be a
business woman…date real men that will not be intimidated to help me
rise up there….I would make money more than even Diamond himself…I would
rise like i have never before..and why?coz i carry a powerful name…iam
gorgeous..and Educated too.I wouldnt go clubbing splashing money on
artists..i will go out there make money than all my exes…and my
contemporary boyfriend.I would make sure…east Africa knows who #
Wema..as a Brand..and not just as diamond girlfriend.I wish you all the
best precious….stay Focus
Unahisi anajuta kurudiana na Diamond na huenda wakawa wameachana kweli? Tupia maoni yako.

No comments:
Post a Comment