Yaani jamani sio siri Wema ndio kila
kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina
ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.
Nina
ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya
wateja hasa akina dada wakisema tupe simu aina yoyote lakini si
alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi ! maana angekuwa mmoja
ungesema ana lake jambo!
Nimeamini ndo mana makampuni makubwa kama Airtel wanamtumia kwa sababu ana kitu cha ziada.
Ndani ya lisaa biashara inadoda ?
WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!

No comments:
Post a Comment