AFANDE SELE ANASWA NA DEMU MPYA
 Na Musa Mateja
 Na Musa MatejaMKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama Tunda.

Akiwa ndani ya uwanja huo, mkali huyo wa 
mashairi yenye vina kwa muda mwingi alikuwa pamoja na msichana huyo 
ambaye hakufahamika jina, wakiwa na dalili zote za wapendanao.
Alipoulizwa juu ya suala hilo, Afande Sele alicheka na kumtaka 
paparazzi wetu kuachana na masuala hayo aliyoyaita binafsi, badala yake 
asubiri apande jukwaani apate picha za kazi atakayofanya.

0 comments: