Saturday, August 23, 2014

WOLPER KUTOPATA ``MTOTO``MADAKTARI WA MWAMBIA AMUOMBE MUNGU



                                           Na imelda mtemwa
super lead kunako tasnia ya sinema za kibongo jacqeline wolper masawe(26)anadaiwa kuangua kilio kisa kuambiwa kuto pata mtoto risasi jumamosi liinyaka hiyo.



Super ledy kunako tasnia ya sinema za kibongo,jacqueline wolper kumbe,!!!

kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wake wa karibu,staa huyo amekua akihaha kusaka mtoto huku shinikizo likitoka kwa bibi yake mzaa baba ambaye amekua akimuuliza juu ya yeye kumpata mtoto kwani umri unazidi kuyoyoma.

                                          MADAKTARI WANASEMAJE?
Habari zilidai kwamba mwanadashost huyo alisha kwenda kwa madaktari mbalimbalia na walimshauri kutokua na hara juu ya suala hili la kupata mtoto,,la zaidi azid kumuomba mwezi mungu

                                         CHANZO HASA!
Kwa kaida wanawake walio wengi umri ukiwatupa mkono wanawake wengi wanakua na wasiwasi wa kupata mtoto hivyo ni kati ya vitu vinavyo watesa wanawake.



                                    jacqueline wolper masawe




0 comments: