Monday, August 25, 2014

NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA

Baada ya miaka miwili katika ndoa yao na mumewe aitwae juma imetambulika kwamba ndoa ya  prisenter huyo wa star TV.,Sauda mwilima ina matatizo kwani haishi na mumewe wa ndoa ,ikidaiwa kwamba kwa sas kila mtu wanaishi inchi tofauti.


Prisenter wa star tv saida mwilima akiwa na mumewe siku ya harusi

Kikizungumza na ijuma wikiend,chanzo makini ambaccho ni mtu wa karibu wa sauda kilisema kwamba baada ya wawili hao kufunga ndoa,Kauli aliondoka kwenda africa kusin'sauz' Alikokua akifanya shughuli zake, kabla ya kufunga ndoa na hadi leo hajawahi kurudi tanzania.
   yaani baada ya kufunga ndoa mumewe alikaa kwa miezi michache, hapa bonga, nasikia hata tendo la ndoa walifanya mara mbili tuu.Hata alipojifungua na mtoto kufariki dunia kwa bahati mbaya,mumew2e hakuwepo hadi leo hajarudi,ukweli inauma ila sauda ni mvumilivu kwani ndoa yake ni shida, kilisema chanzo hicho.
Baada ya kuzipa habari hizo mwana habari wetu alimtafuta sauda lakini alikua na aibu ya kusema

Sauda mwilima akvishwa pete na mumewe kauli juma.

Ni kweli anaishi sauzi.Tangu tukiwa wachumba ttulielewana kwamba tukiona kila mtu ataendelea kuishi anapo hivyo mumewngu anaendelea na shughuli zake africa kusini na hua anakuja mara mojamoja akiwa na nafasi au akiwa likizo.
  Mimi siyo mtu wa kijionyesha kwa watu eti mumewangu yupo nchini.hivyo akija ni kimya kimya anakaa tunaendelea na mambo ya familia yetu basi,Muda ukiisha anaondoka na tulikubaliana tangu tukiwa wachumba hivyo ikitokea mmoja wetu ameamua kumfuata mwenzake na kwenda kishi nae, hakuna shida .alisema sauda

Sauda aliongeza kwamba ndoa yake iko vizuri na hawajaachana na endapo ingekua hayupo asinge vaa pete ya ndoa.
  Ndoa yangu haija vunjika ,tuko vizuri na mumewangu japokua tuko mbali,lakini kila mmoja anamwamini mwenzake alisema sauda.
                                         www.habaritoday.blogspot.com
wadau wanaifananisha ndoa hiyo na ya anti ezekiel na kudai kua wawili hao hawachekan.

0 comments: