TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA
Na Ibrahim Mussa
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.…
Na Ibrahim Mussa
MKALI wa kibao cha Msambinungwa, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’, amesema hana mpango wa kutoka kimapenzi na msanii wa filamu za maigizo, mwanadada Wema Sepetu kwa kuwa hawaendani kabisa.
Tunda Mana katika pozi na presenter, Pamela Daffa 'Pam D' wakati wa mahojiano hayo.
Akuzungumza na 2dayhabari kupitia kipindi cha Mtu Kati, Tunda alisema
kuwa hafikirii hata mara moja kama atakuja kutoka kimapenzi na staa huyo
kwa kuwa watakuwa wanapishana kwenye baadhi ya mambo.
Tunda Man ndani ya studio .
“Wema ni rafiki yangu kama walivyo marafiki wengine lakini kitu
kikubwa sitamani kabisa aje kuwa mpenzi wangu kwa sababu tutakuwa
tunapishana katika baadhi ya mambo na hizi ngumi ninazocheza nahisi
nitampiga mpaka nitauwa,” alisema Tunda Man.www.2dayhabari.blogspot.com
0 comments: