Sunday, September 28, 2014

Siri Tano za Wanawake

siri 5 za wanawake

Haya maelezo hayamaanishi siri hizi wazijue
wanawake, lakini ni siri zinazowahusisha wanawake
wengi, kwa vile hapa tunaongea na wanaume wengi
basi ni vyema nikazieleza ili wanaume wengi wafahamu
siri zinazowahusu wanawake wao!!!
1. Wanapenda Kufanya Mapenzi ya kupishana 
Picture2
Tofauti na wanaume, ambao
wakimaliza baada ya dakika chache huwa na hamu ya
kutaka kuendelea tena  hasa baada ya kuoga, wanawake
wenyewe wakimaliza wanahitaji kupumzika muda mrefu
kidogo, yaani angalau siku 2, kabla ya kuhitaji tena
marudio ya mechi na hasa mechi yenyewe ikiwa nzito.
 So mwanaume usitake kila siku upewe!
2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, 
Usizidishe  muda!
Mume, elewa mkeo anapenda Mapenzi na wala
hapendi “Roboti la Mapenzi”, kwa hiyo ukiwa
katika Game usitake Kumkomoa,na pia Usiwe
 Mchovu Kitandani!
3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!
Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti
anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono
utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana
anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani,
yuko tayari kumpokea!
Picture1



4. Wanawake wanapenda Mambo Mapya!
Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha
mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo
 japo ataogopa kukueleza kwa baadhi yao lakini usifanye mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo
mapya kila leo!
5.Penzi Chai
Siku za Nyuma niliandika kuhusu penzi kabla ya
kiu chochote asubuhi, elewa kuwa miongoni
mwa wake zetu wanalipenda hili na usiku wake
kama hatukucheza mechi zetu!
Kwa hayo machache natumaini waume
mtayazingatia na kuyafanyia kazi ili mapenzi
na ndoa zetu zizidi kuimarika!

0 comments: